sw_tn/psa/101/004.md

24 lines
651 B
Markdown

# uovu
"chochote kilicho kiovu"
# mwenye mwenendo wa dharau na kiburi
Misemo hii miwili ina maana moja na inasisitiza jinsi watu wa hivyo walivyo na kiburi.
# mwenendo
"fikra" au "tabia"
# Nitamtazama mwaminifu wa nchi kuketi pembeni kwangu
Hii inamaanisha kuwa Daudi angewaruhusu wale watu hao kuwa karibu naye na kuishi naye. "Nitawaruhusu waaminifu wa nchi kuishi na mimi"
# mwaminifu
Hii inamaanisha watu walio waaminifu kwa Mungu. "watu waaminifu"
# wanaotembea katika njia ya uadilifu
Hapa Daudi anazungumzia "kuishi" kana kwamba ilikuwa "kutembea." "ishi kwatika njia iliyo ya uwazi na sawa" au "wanaoishi maisha yaliyojaa uadilifu"