# uovu "chochote kilicho kiovu" # mwenye mwenendo wa dharau na kiburi Misemo hii miwili ina maana moja na inasisitiza jinsi watu wa hivyo walivyo na kiburi. # mwenendo "fikra" au "tabia" # Nitamtazama mwaminifu wa nchi kuketi pembeni kwangu Hii inamaanisha kuwa Daudi angewaruhusu wale watu hao kuwa karibu naye na kuishi naye. "Nitawaruhusu waaminifu wa nchi kuishi na mimi" # mwaminifu Hii inamaanisha watu walio waaminifu kwa Mungu. "watu waaminifu" # wanaotembea katika njia ya uadilifu Hapa Daudi anazungumzia "kuishi" kana kwamba ilikuwa "kutembea." "ishi kwatika njia iliyo ya uwazi na sawa" au "wanaoishi maisha yaliyojaa uadilifu"