sw_tn/psa/099/004.md

12 lines
308 B
Markdown

# anapenda haki
Nomino dhahania "haki" inaweza kutafsiriwa kutumia msemo "kilicho cha haki." "anapenda kufanya kilicho cha haki"
# Umeimarisha usawa
Nomino dhahania ya "usawa" ni njia nyingine ya kusema sheria zilizo na usawa. "Sheria ulizoweka zina usawa"
# miguuni pake
"mbele ya kiti chake cha enzi"