# anapenda haki Nomino dhahania "haki" inaweza kutafsiriwa kutumia msemo "kilicho cha haki." "anapenda kufanya kilicho cha haki" # Umeimarisha usawa Nomino dhahania ya "usawa" ni njia nyingine ya kusema sheria zilizo na usawa. "Sheria ulizoweka zina usawa" # miguuni pake "mbele ya kiti chake cha enzi"