sw_tn/psa/091/014.md

20 lines
567 B
Markdown

# Kwa sabau amejitoa kwangu
"Kwa sababu ananipenda mimi"
# Nitakuwa naye katika taabu
"Nitakuwa naye wakati yuko katika taabu"
# nitampa ushindi
"nitamwezesha kuwashinda adui zake"
# nitamridhisha na maisha marefu
Mwandishi anazungumzia maisha kana kwamba ni kitu ambacho mtu anaweza kula. Nitamruhusu kuishi maisha marefu na yenye furaha"
# na kumwonesha wokovu wangu
"na nitamwonesha wokovu wangu." Mwandishi wa zaburi anazungumzia kazi ambayo Mungu hufanya kuwaokoa watu kana kwamba ni kitu chenye umbo. "Nitamwokoa ili ajue kuwa mimi ndiye niliyemwokoa"