# Kwa sabau amejitoa kwangu "Kwa sababu ananipenda mimi" # Nitakuwa naye katika taabu "Nitakuwa naye wakati yuko katika taabu" # nitampa ushindi "nitamwezesha kuwashinda adui zake" # nitamridhisha na maisha marefu Mwandishi anazungumzia maisha kana kwamba ni kitu ambacho mtu anaweza kula. Nitamruhusu kuishi maisha marefu na yenye furaha" # na kumwonesha wokovu wangu "na nitamwonesha wokovu wangu." Mwandishi wa zaburi anazungumzia kazi ambayo Mungu hufanya kuwaokoa watu kana kwamba ni kitu chenye umbo. "Nitamwokoa ili ajue kuwa mimi ndiye niliyemwokoa"