sw_tn/psa/091/008.md

16 lines
393 B
Markdown

# Utatazama na kuona
"Wewe mwenyewe hautateseka, lakini utatazama kwa makini, na utaona"
# adhabu ya waovu
"jinsi Mungu anvyowaadhibu waovu"
# Yahwe ni kimbilio langu
"Yahwe ndiye ninayemfuata ninapohitaji mtu wa kunilinda"
# Mfanye Aliye juu kimbilio lako pia
"Unapaswa kumfanya Aliye juu awe kimbilio lako pia." Mwandishi anaacha kuzungumza na Mungu na anaanza kuzungumza na msomaji.