# Utatazama na kuona "Wewe mwenyewe hautateseka, lakini utatazama kwa makini, na utaona" # adhabu ya waovu "jinsi Mungu anvyowaadhibu waovu" # Yahwe ni kimbilio langu "Yahwe ndiye ninayemfuata ninapohitaji mtu wa kunilinda" # Mfanye Aliye juu kimbilio lako pia "Unapaswa kumfanya Aliye juu awe kimbilio lako pia." Mwandishi anaacha kuzungumza na Mungu na anaanza kuzungumza na msomaji.