sw_tn/psa/083/013.md

16 lines
611 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anatumia tashbihi kuelezea uharibifu kamili wa Mungu kwa adui wa Israeli.
# wafanya kuwa kama mavumbi yanayozunguka, kama makapi mbele ya upepo
Kauli zote mbili zinazungumzia Mungu kuangamiza adui zake kana kwamba alikuwa upepo mkali unaowapuliza kwa urahisi.
# kama moto unaochoma msitu, na moto unaoweka milima katika moto
Kauli zote mbili zinazungumzia adhabu ya Mungu kana kwamba ni moto, na adui wa Mungu ni vitu vinavyoungua katika moto.
# Wafukuze kwa upepo wako wenye nguvu, na watishe kwa dhoruba yako
Kauli zote mbili zinamwomba Mungu kuangamiza adui kwa dhoruba.