sw_tn/psa/081/011.md

12 lines
401 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Sasa Yahwe anaeleza nini kilitokea baada ya kuwaonya watu.
# maneno yangu
Hapa "maneno" yanawakilisha kile ambacho Mungu alisema. "kwa kile nilichosema" au "kwangu"
# Kwa hiyo nikawapa kwa njia yao wenyewe ya usumbufu
Mungu kuwaruhusu watu kubaki wasumbufu inazungumziwa kana kwamba Mungu alikuwa akiwapa kwa adui kumwacha adui awadhuru. "Kwa hiyo, ninawaacha wawe wasumbufu"