# Taarifa ya Jumla: Sasa Yahwe anaeleza nini kilitokea baada ya kuwaonya watu. # maneno yangu Hapa "maneno" yanawakilisha kile ambacho Mungu alisema. "kwa kile nilichosema" au "kwangu" # Kwa hiyo nikawapa kwa njia yao wenyewe ya usumbufu Mungu kuwaruhusu watu kubaki wasumbufu inazungumziwa kana kwamba Mungu alikuwa akiwapa kwa adui kumwacha adui awadhuru. "Kwa hiyo, ninawaacha wawe wasumbufu"