sw_tn/psa/081/008.md

20 lines
466 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Yahwe unawakumbusha watu alichosema wakati wako jangwani.
# kwa kuwa nitawaonya
"kwa sababu ninakupa onyo"
# Israeli
Hapa "Israeli" inawakilisha watu wa Israeli. "Waisraeli" au "watu wa Israeli"
# kama tu utanisikiliza!
"jinsi ninavyotamani kuwa mnisikilize" au "lakani inabidi muanze kunisikiliza!"
# Fungua mdomo wako wazi, na nitaujaza
Mungu kujali mahitaji ya watu inazungumziwa kana kwamba alikuwa ni ndege anawalisha makinda yake.