# Taarifa ya jumla: Yahwe unawakumbusha watu alichosema wakati wako jangwani. # kwa kuwa nitawaonya "kwa sababu ninakupa onyo" # Israeli Hapa "Israeli" inawakilisha watu wa Israeli. "Waisraeli" au "watu wa Israeli" # kama tu utanisikiliza! "jinsi ninavyotamani kuwa mnisikilize" au "lakani inabidi muanze kunisikiliza!" # Fungua mdomo wako wazi, na nitaujaza Mungu kujali mahitaji ya watu inazungumziwa kana kwamba alikuwa ni ndege anawalisha makinda yake.