sw_tn/psa/081/004.md

28 lines
588 B
Markdown

# Kwa kuwa
Hapa kinachozungumziwa ni sikukuu.
# amri iliyotolewa na Mungu wa Yakobo
"Mungu wa Yakobo aliamrisha" au "Mungu wa yakobo aliamuru"
# Mungu wa Yakobo
Hapa "Yakobo" inawakilishwa uzao wake wote. "Mungu wa Israeli, taifa la uzao wa Yakobo"
# aliitoa kama kanuni
"aliitoa kama sheria"
# katika Yusufu
Hapa "Yusufu" inawakilisha Waisraeli. "kwa Waisraeli"
# alipoaende dhidi ya nchi ya Misri
Hii inamaanisha matukio ya kihistoria katika Misri wakati watu wa Israeli walipokuwa watumwa na Mungu akawaokoa.
# nchi ya Misri
Hapa "nchi" inawakilisha watu. "watu wa Misri"