# Kwa kuwa Hapa kinachozungumziwa ni sikukuu. # amri iliyotolewa na Mungu wa Yakobo "Mungu wa Yakobo aliamrisha" au "Mungu wa yakobo aliamuru" # Mungu wa Yakobo Hapa "Yakobo" inawakilishwa uzao wake wote. "Mungu wa Israeli, taifa la uzao wa Yakobo" # aliitoa kama kanuni "aliitoa kama sheria" # katika Yusufu Hapa "Yusufu" inawakilisha Waisraeli. "kwa Waisraeli" # alipoaende dhidi ya nchi ya Misri Hii inamaanisha matukio ya kihistoria katika Misri wakati watu wa Israeli walipokuwa watumwa na Mungu akawaokoa. # nchi ya Misri Hapa "nchi" inawakilisha watu. "watu wa Misri"