sw_tn/psa/073/027.md

12 lines
307 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Asafu anaendelea kumzungumzia Mungu.
# Wale walio mbali na wewe
Hapa wazo la kukaa mbali na Mungu linalinganishwa na kutokuwa tayari kumtii. "Wale wasiotaka kukutii"
# kimbilio langu
Mwandishi anamzungumzia Yahwe kana kwamba alikuwa sehemu ambayo mtu anaweza kutorokea kwa usalama.