# Taarifa ya Jumla: Asafu anaendelea kumzungumzia Mungu. # Wale walio mbali na wewe Hapa wazo la kukaa mbali na Mungu linalinganishwa na kutokuwa tayari kumtii. "Wale wasiotaka kukutii" # kimbilio langu Mwandishi anamzungumzia Yahwe kana kwamba alikuwa sehemu ambayo mtu anaweza kutorokea kwa usalama.