sw_tn/psa/069/026.md

24 lines
538 B
Markdown

# walimtesa yule
"walimtesa mtu"
# uliyempiga chini
Hapa "kupiga chini" inamaanisha adhabu. "ulimwadhibu"
# wale uliowaumiza
Hapa "kuumizwa" inamaansiha kuwasababisha kuteseka. "wale uliowasababisha wateseka"
# Washtakaki kwa kufanya udhalimu baada ya udhalimu
"Endelea kuweka kumbukumbu ya dhambi zao zote"
# udhalimu baada ya udhalimu
"dhambi nyingi sana"
# usiwaache waje katika ushindi wako wa haki
Kuja katika ushindi wa Mungu ni lahaja inayomaanisha kupokea dhawabu kutoka kwake. "usiwaache wapokee dhawabu yako ya haki"