sw_tn/psa/066/019.md

12 lines
383 B
Markdown

# Lakini hakika Mungu amesikia; amevuta nadhari
Vishazi hivi viwili vina maana za kufanana na zinatumika pamoja kusisitiza kuwa Mungu amesikia ombi lake. "Lakini hakika Mungu amesikia ombi langu"
# sauti ya ombi langu
Hapa ombi la mwandishi limepewa sifa ya kuwa na sauti. "ombi langu"
# au uaminifu wake wa agano kutoka kwangu
"au kugeuza uaminifu wake wa agano kutoka kwangu"