# Lakini hakika Mungu amesikia; amevuta nadhari Vishazi hivi viwili vina maana za kufanana na zinatumika pamoja kusisitiza kuwa Mungu amesikia ombi lake. "Lakini hakika Mungu amesikia ombi langu" # sauti ya ombi langu Hapa ombi la mwandishi limepewa sifa ya kuwa na sauti. "ombi langu" # au uaminifu wake wa agano kutoka kwangu "au kugeuza uaminifu wake wa agano kutoka kwangu"