sw_tn/psa/066/005.md

32 lines
541 B
Markdown

# anatisha ... yake ... kwake
Hapa anayezungumziwa ni Mungu.
# anatisha
"wa ajabu"
# wanadamu
"binadamu"
# Aligeuza bahari kuwa nchi kavu; walipita mto kwa miguu
Hii inamaanisha kuvuka bahari ya Shamu.
# walipita
Waliopita ni watu wa Mungu, Waisraeli.
# tulifurahi
Waliofurahi ni Waisraeli, mababu zao, Daudi, na watu anaozungumza nao.
# macho yake yanatazama
Msemo huu "macho yake" inamaanisha Mungu mwenyewe. "anaona"
# usiwaache wakaidi wajiinue
"usiwaache watu wakaidi wajiinue" au "usiwaache watu wakaidi wawe na kiburi"