# anatisha ... yake ... kwake Hapa anayezungumziwa ni Mungu. # anatisha "wa ajabu" # wanadamu "binadamu" # Aligeuza bahari kuwa nchi kavu; walipita mto kwa miguu Hii inamaanisha kuvuka bahari ya Shamu. # walipita Waliopita ni watu wa Mungu, Waisraeli. # tulifurahi Waliofurahi ni Waisraeli, mababu zao, Daudi, na watu anaozungumza nao. # macho yake yanatazama Msemo huu "macho yake" inamaanisha Mungu mwenyewe. "anaona" # usiwaache wakaidi wajiinue "usiwaache watu wakaidi wajiinue" au "usiwaache watu wakaidi wawe na kiburi"