sw_tn/psa/043/003.md

16 lines
457 B
Markdown

# tuma nuru yako na ukweli wako
Mwandishi anazungumzia ukombozi wa Mungu kana kwamba ni nuru inayo mwonyesha njia na ukweli unaomfundisha jinsi ya kuishi. "niongoze kwa nuru yako na kweli"
# mlima ... mtakatifu
Hii inamaanisha mlima ulioko Yerusalemu ambapo hekalu lipo kwa hiyo ni hekalu lenyewe.
# kwenye makazi yako
"mahali ambapo unaishi"
# Mungu furaha yangu inayozidi
"Mungu ambaye ni furaha yangu kubwa sana" au "Mungu anayenipa furaha kubwa"