sw_tn/psa/040/016.md

32 lines
576 B
Markdown

# washangilie na kuwa na furaha
Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na inasisitiza uzito wa furaha. "wawe na furaha sana"
# wanaopenda wokovu wako
"wanaokupenda kwa sababu umewaokoa"
# maskini na mhitaji
Maneno haya yanamaanisha kitu kimoja na yanasisitiza jisni mwandishi asivyojiweza. "mhitaji sana"
# Bwana ananiwaza
"Bwana ananijali"
# Wewe ni msaada wangu ... unakuja kwa ukombozi wangu
Misemo hii inamaanisha kitu kimoja.
# Wewe ni msaada wangu
"Wewe ndiye unaye nisaidia"
# unakuja kwa ukombozi wangu
"unakuja kunioka"
# usichelewe
"unijibu upesi"