# washangilie na kuwa na furaha Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na inasisitiza uzito wa furaha. "wawe na furaha sana" # wanaopenda wokovu wako "wanaokupenda kwa sababu umewaokoa" # maskini na mhitaji Maneno haya yanamaanisha kitu kimoja na yanasisitiza jisni mwandishi asivyojiweza. "mhitaji sana" # Bwana ananiwaza "Bwana ananijali" # Wewe ni msaada wangu ... unakuja kwa ukombozi wangu Misemo hii inamaanisha kitu kimoja. # Wewe ni msaada wangu "Wewe ndiye unaye nisaidia" # unakuja kwa ukombozi wangu "unakuja kunioka" # usichelewe "unijibu upesi"