sw_tn/psa/039/010.md

20 lines
679 B
Markdown

# Acha kuniumiza
Adhabu ya Mungu kwa mwandishi inazungumziwa kana kwamba Mungu alikuwa akimuumiza kwa silaha. "tafadhali acha kuniadhibu!"
# nimelemewa
"nimeshindwa kabisa"
# pigo la mkono wako
Adhabu ya Mungu kwa mwandishi inazungumziwa kana kwamba Mungu alikuwa akimpiga kwa mkono wake. Hapa "mkono" unawakilisha hukumu ya Mungu. "hukumu yako kwangu"
# unameza vitu wanavyotamani kama nondo
Mungu atachukua vitu wanavyojali katika njia moja nondo anavyokula kipande cha nguo. "unameza vitu wanavyotamani kama nondo anavyokula nguo"
# watu wote sio kitu ila mvuke
Mwandishi anazungumza udhaifu wa watukana kwamba ni umande unaopotea haraka. "kila mtu ni dhaifu kabisa"