# Acha kuniumiza Adhabu ya Mungu kwa mwandishi inazungumziwa kana kwamba Mungu alikuwa akimuumiza kwa silaha. "tafadhali acha kuniadhibu!" # nimelemewa "nimeshindwa kabisa" # pigo la mkono wako Adhabu ya Mungu kwa mwandishi inazungumziwa kana kwamba Mungu alikuwa akimpiga kwa mkono wake. Hapa "mkono" unawakilisha hukumu ya Mungu. "hukumu yako kwangu" # unameza vitu wanavyotamani kama nondo Mungu atachukua vitu wanavyojali katika njia moja nondo anavyokula kipande cha nguo. "unameza vitu wanavyotamani kama nondo anavyokula nguo" # watu wote sio kitu ila mvuke Mwandishi anazungumza udhaifu wa watukana kwamba ni umande unaopotea haraka. "kila mtu ni dhaifu kabisa"