sw_tn/psa/039/006.md

12 lines
431 B
Markdown

# Hakika kila mtu anatembea kama kivuli
Maisha ya watu yanazungumziwa kana kwamba sio ya muhimu kama vivuli. "Kila mtu anapotea kama vivuli vinavyofanya"
# ingawa hawajui nini atawapokea
Hapa inadokezwa kuwa hawajui kitakachotokea kwa utajiri watakapokufa.
# Sasa, Bwana, ninasubiri nini?
Mwandishi anauliza hili swali kusisitiza kuwa watu hawawezi kumsaidia. "Kwa hiyo, Yahwe, sitegemei kupokea kitu kutoka kwa mtu mwingine"