sw_tn/psa/037/037.md

24 lines
440 B
Markdown

# mtu wa uadilifu
Hii haimaanishi mtu bayana. Ni kauli ya ujumla.
# mwekee alama mnyofu
"waangalia kwa makini watu wazuri"
# siku za usoni za mtu mwovu zimekatwa
"Mungu atasitisha uzao wake" au "hatakuwa na uzao"
# siku za usoni
Hii inamaanisha uzao wake. "uzao wake"
# mtu mwovu
Hii haimaanishi mtu bayana. Ni kauli ya ujumla.
# zimekatwa
Uharibifu wa waovu unazungumziwa kana kwamba walikuwa tawi la mmea uliokatwa na kutupwa.