# mtu wa uadilifu Hii haimaanishi mtu bayana. Ni kauli ya ujumla. # mwekee alama mnyofu "waangalia kwa makini watu wazuri" # siku za usoni za mtu mwovu zimekatwa "Mungu atasitisha uzao wake" au "hatakuwa na uzao" # siku za usoni Hii inamaanisha uzao wake. "uzao wake" # mtu mwovu Hii haimaanishi mtu bayana. Ni kauli ya ujumla. # zimekatwa Uharibifu wa waovu unazungumziwa kana kwamba walikuwa tawi la mmea uliokatwa na kutupwa.