sw_tn/psa/035/015.md

20 lines
548 B
Markdown

# wakakusanya pamoja
"kukusanyika pamoja" au "wakaja pamoja"
# dhidi yangu
Hii inamaanisha walikuja pamoja kwa kusudi la kumshambulia mwandishi. "kufanya mipango dhidi yangu" au "kupanga uharibifu"
# Wakanirarua
Hapa walimtendea mwandishi kana kwamba alikuwa kipande cha nguo walichoweza kurarua vipande vipande. "Walinivamia"
# Bila heshima yoyote wakanidhihaki
"Walinidhihaki na watu wasio na faida kabisa" au 2) "walinikejeli bila heshima"
# wakanisagia meno
Hii ni alama ya hasira na chuki. "walinifanyia sauti za kusaga kwa meno yao"