# wakakusanya pamoja "kukusanyika pamoja" au "wakaja pamoja" # dhidi yangu Hii inamaanisha walikuja pamoja kwa kusudi la kumshambulia mwandishi. "kufanya mipango dhidi yangu" au "kupanga uharibifu" # Wakanirarua Hapa walimtendea mwandishi kana kwamba alikuwa kipande cha nguo walichoweza kurarua vipande vipande. "Walinivamia" # Bila heshima yoyote wakanidhihaki "Walinidhihaki na watu wasio na faida kabisa" au 2) "walinikejeli bila heshima" # wakanisagia meno Hii ni alama ya hasira na chuki. "walinifanyia sauti za kusaga kwa meno yao"