sw_tn/psa/034/018.md

20 lines
615 B
Markdown

# Yahwe yuko karibu
Hapa "yuko karibu" inamaana "tayari kusaidia." "Yahwe yuko tayari kusaidia"
# walio vunjika moyo
Huzuni kubwa inazungumziwa kana kwamba moyo wa mtu umevunjika. "watu walio na huzuni sana"
# wale walio pondeka rohoni
Watu waliokata tamaa sana wanazungumziwa kana kwamba roho zao zimepondwa. "watu waliokata tamaa sana"
# wenye haki
Hii inamaanisha watu wenye haki. "watu wenye haki"
# Anatunza mifupa yake yote, hakuna hata moja itakayovunjika
Hapa "mifupa yake" ni halisia, lakini pia inaashiria kuwa yahwe anamtunza mtu mzima. "Anatoa ulinzi kamili kwake, hatadhuriwa kwa njia yoyote"