sw_tn/psa/031/023.md

8 lines
209 B
Markdown

# waaminifu
Hii inamaanisha watu waaminifu. "watu walio waaminifu"
# huwalipa wenye kiburi kikamilifu
Hapa "kulipa" ni lahaja inayomaanisha kuwaadhibu. "anawapa watu wenye kiburi adhabu yote wanayostahili"