forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
844 B
Markdown
28 lines
844 B
Markdown
# Kauli Unganishi:
|
|
|
|
Mwandishi anaendelea kuelezea nguvu ya sauti ya Mungu.
|
|
|
|
# Anaifanya Lebanoni kurukaruka kama ndama
|
|
|
|
Lebanoni inazungumziwa kana kwamba ni ndama mchanga. Hii inasisitiza kwamba Yahwe akizungumza, nguvu ya sauti yake hutikisa ardhi. "Hufanya nchi ya Lebanoni kutikisika kama ndama anaye rukaruka"
|
|
|
|
# kurukaruka
|
|
|
|
kuruka kidogo hapa na pale
|
|
|
|
# Sirioni kama kama ng'ombe mdogo
|
|
|
|
Sirioni inazungumziwa kana kwamba ni ng'ombe mchanga. Hii inasisitiza kuwa Yahwe akizungumza, nguvu ya sauti yake hutikisia ardhi. "Huifanya Sirioni kuruka kama ng'ombe mchanga"
|
|
|
|
# Sirioni
|
|
|
|
Huu ni mlima Lebanoni. Pia unaitwa mlima Hermoni.
|
|
|
|
# Sauti ya Yahwe inatuma miali ya moto
|
|
|
|
Sehemu zote zenye "sauti" zinamaanisha Yahwe anazungumza. "Yahwe akizungumza husababisha miali ya radi kuonekana angani"
|
|
|
|
# miali ya moto
|
|
|
|
hii inamaanisha mwale wa radi.
|