sw_tn/psa/026/004.md

24 lines
448 B
Markdown

# Sijihusishi
"Sikai kundi moja na" au "Siketi na"
# na watu waongo
"na wale wanao wadanganya wengine"
# wala kujichanganya na watu wasio wakweli
Hii ina maana sawa na sehemu ya kwanza ya sentensi. "na sijiungi na watu wasio wakweli"
# watu wasio wakweli
"wanafiki" au "wale wanao wadanganya wengine"
# mkusanyiko wa watenda maovu
"wale wanao kusanyika kutenda maovu"
# waovu
Hiki ni kivumishi kidogo. "watu waovu" au "wale walio waovu"