# Sijihusishi "Sikai kundi moja na" au "Siketi na" # na watu waongo "na wale wanao wadanganya wengine" # wala kujichanganya na watu wasio wakweli Hii ina maana sawa na sehemu ya kwanza ya sentensi. "na sijiungi na watu wasio wakweli" # watu wasio wakweli "wanafiki" au "wale wanao wadanganya wengine" # mkusanyiko wa watenda maovu "wale wanao kusanyika kutenda maovu" # waovu Hiki ni kivumishi kidogo. "watu waovu" au "wale walio waovu"