|
# Akafungua
|
|
|
|
Aliyefungua ni Yahwe.
|
|
|
|
# giza nene lilikuwa chini ya miguu yake
|
|
|
|
Ingawa Yahwe sio binadamu, mwandishi anampa sifa za binadamu. "giza nene lilikuwa chini yake"
|
|
|
|
# mabawa ya upepo
|
|
|
|
Hapa mwandishi wa zaburi anazungumzia upepo kana kwamba una mabawa kama malaika.
|