# Akafungua Aliyefungua ni Yahwe. # giza nene lilikuwa chini ya miguu yake Ingawa Yahwe sio binadamu, mwandishi anampa sifa za binadamu. "giza nene lilikuwa chini yake" # mabawa ya upepo Hapa mwandishi wa zaburi anazungumzia upepo kana kwamba una mabawa kama malaika.