sw_tn/psa/011/005.md

20 lines
429 B
Markdown

# anachunguza
"kuangalia kwa umakini"
# wanaofanya fujo
"kuumiza wengine"
# Anawanyeshea moto wa makaa na kibiriti juu ya waovu; upepo unaochoma utakua sehemu yao kutoka kwenye kikombe chake!
Adhabu ya Mungu inaelezwa kana kwamba yalikuwa makaa ya moto na kibiriti kutoka kwenye volkano. "Anawaadhibu waovu; hakutakuwa na nafuu kwao!"
# kibiriti
Hili ni jina lingine la salfa
# wataona uso wake
"kuwa kwenye uwepo wake"