# anachunguza "kuangalia kwa umakini" # wanaofanya fujo "kuumiza wengine" # Anawanyeshea moto wa makaa na kibiriti juu ya waovu; upepo unaochoma utakua sehemu yao kutoka kwenye kikombe chake! Adhabu ya Mungu inaelezwa kana kwamba yalikuwa makaa ya moto na kibiriti kutoka kwenye volkano. "Anawaadhibu waovu; hakutakuwa na nafuu kwao!" # kibiriti Hili ni jina lingine la salfa # wataona uso wake "kuwa kwenye uwepo wake"