sw_tn/psa/002/008.md

28 lines
868 B
Markdown

# Kauli Unganishi:
Yahwe anaendelea kuzungumza na mfalme mpya wa Israeli.
# mataaifa kwa urithi wako ... sehemu za mbali za nchi kwa mali yako
Mafungu haya yanaonesha mawazo ya kufanana sana.
# sehemu za mbali za nchi
"ardhi iliyo mbali kabisa"
# Utawavunja kwa fimbo ya chuma; kama chupa ya mfinyanzi, utawaponda vipande vipande.
Vifungu hivi vinanaonesha mawazo ya kufanana sana.
# Utawavunja kwa fimbo ya chuma
Kuyashinda mataifa inazungumziwa kama kuyavunja, na nguvu yake inazungumziwa kama fimbo ya chuma. "Utawashinda kabisa kwa nguvu yako"
# utawaponda vipande vipande
Kuangamiza mataifa inazungumziwa kana kwamba yanaweza kupondwa kama chupa ya udongo. "utawaangamiza kabisa kama chuma ya udongo"
# chupa ya mfinyanzi
Mfinyanzi ni mtu anayetengeneza vyungu vya udongo na chupa. Hizi ni nyepesi kuvunjika. "chupa ya udongo" au "chungu cha udongo"