sw_tn/psa/002/004.md

20 lines
566 B
Markdown

# Yeye ... Bwana
Maneno haya yanamaanisha Yahwe. Yahwe mara nyingi huitwa "Bwana" lakini maneno kwa ajili ya "Yahwe" na "Bwana" ni tofauti.
# aketiye mbinguni
Hapa kuketi inamaanisha kutawala. Kile anachokalia kinaweza kuelezwa vizuri. "anatawala mbinguni" au "anaketi katika kiti chake cha enzi mbinguni"
# Bwana anawadhihaki
"Bwana anawadhihaki hao watu." Kwa nini anawadhihaki inaweza kuelezwa vizuri. "Bwana anawadhihaki kwa mipango yao yakipumbavu"
# na kuwatisha katika gadhabu yake
"gadhabu" inamaanisha kuwa na hasira kali.
# kuwatisha
"kuwaogofya"