sw_tn/pro/31/01.md

36 lines
944 B
Markdown

# Mfalme Lemueli
hili ni jina la mfalme
# Mwanangu, ni nini? Mwana wa tumbo langu, ni kitu gani? Unataka nini, mwana wa nadhiri zangu?
1) "unafanya nini"? au " hupaswi kufanya hivyo unavyofanya sasa" 2) "sikiliza ninachokuambia" 3) "usifanye mambo ambayo nitakuonya dhidi yake."
# mwanangu...mwana wa tumbo langu... mwana wa nadhiri zangu
msemaji anataka msikiaji atambue na kuheshimu msema anayezungumza.
# mwana wa tumbo langu
tumbo linawakilisha mtu
# mwana wa nadhiri zangu
1) nadhiri za ndoa ya mama 2) nadhiri baada ya ndoa yakuwa kama Mungu angeruhusu kupata mtoto angeli mweka wakifu kwa Mungu
# usiwape wanamke nguvu zako
"usifanye juhudi sana ili kufanya ngono na wanawake" ama nje ya ndoa au kwa vimada
# au njia zako kwa wale ambao huwaharibu wafalme
"au kuruhusu wale ambao huwaharibu wafalme kukushauri"
# njia zako
"namna unavyoishi" au "kazi unayofanya"
# wale ambao huwaharibu wafalme
labda ni mwanamke malaya