# Mfalme Lemueli hili ni jina la mfalme # Mwanangu, ni nini? Mwana wa tumbo langu, ni kitu gani? Unataka nini, mwana wa nadhiri zangu? 1) "unafanya nini"? au " hupaswi kufanya hivyo unavyofanya sasa" 2) "sikiliza ninachokuambia" 3) "usifanye mambo ambayo nitakuonya dhidi yake." # mwanangu...mwana wa tumbo langu... mwana wa nadhiri zangu msemaji anataka msikiaji atambue na kuheshimu msema anayezungumza. # mwana wa tumbo langu tumbo linawakilisha mtu # mwana wa nadhiri zangu 1) nadhiri za ndoa ya mama 2) nadhiri baada ya ndoa yakuwa kama Mungu angeruhusu kupata mtoto angeli mweka wakifu kwa Mungu # usiwape wanamke nguvu zako "usifanye juhudi sana ili kufanya ngono na wanawake" ama nje ya ndoa au kwa vimada # au njia zako kwa wale ambao huwaharibu wafalme "au kuruhusu wale ambao huwaharibu wafalme kukushauri" # njia zako "namna unavyoishi" au "kazi unayofanya" # wale ambao huwaharibu wafalme labda ni mwanamke malaya