sw_tn/pro/31/01.md

944 B

Mfalme Lemueli

hili ni jina la mfalme

Mwanangu, ni nini? Mwana wa tumbo langu, ni kitu gani? Unataka nini, mwana wa nadhiri zangu?

  1. "unafanya nini"? au " hupaswi kufanya hivyo unavyofanya sasa" 2) "sikiliza ninachokuambia" 3) "usifanye mambo ambayo nitakuonya dhidi yake."

mwanangu...mwana wa tumbo langu... mwana wa nadhiri zangu

msemaji anataka msikiaji atambue na kuheshimu msema anayezungumza.

mwana wa tumbo langu

tumbo linawakilisha mtu

mwana wa nadhiri zangu

  1. nadhiri za ndoa ya mama 2) nadhiri baada ya ndoa yakuwa kama Mungu angeruhusu kupata mtoto angeli mweka wakifu kwa Mungu

usiwape wanamke nguvu zako

"usifanye juhudi sana ili kufanya ngono na wanawake" ama nje ya ndoa au kwa vimada

au njia zako kwa wale ambao huwaharibu wafalme

"au kuruhusu wale ambao huwaharibu wafalme kukushauri"

njia zako

"namna unavyoishi" au "kazi unayofanya"

wale ambao huwaharibu wafalme

labda ni mwanamke malaya