sw_tn/pro/30/15.md

48 lines
1.0 KiB
Markdown

# Mruba anao binti wawili
Huu ni mfano wa kuonesha uroho, kutaka vitu zadi kila mara "Uroho anao binti wawili"
# mruba
ni aina ya mnyoo amba huganda kwenye ngozi na kunyonya damu
# Wanalia "Nipe na nipe "
" kwa pamoja wote wanaitwa nipe mimi"
# kuna vitu vitatu ambavyo havitosheki, vinne ambavyo havisemi "Yatosha"
"Kuna vitu vinne ambavyo havitosheki, ambavyo havisemi, "Yatosha"
# ambavyo havitosheki
"daima vinataka zaidi"
# ardhi ambayo haitosheki kwa maji
ardhi ambayo haizalishi tena chakula kwa sababu hakuna mvua imeongelewa kana kwamba mtu ambaye hana maji ya kutosha kwa kunywa
# beza utiifu kwa mama
"humfikiria mama yake kuwa hana maana na hawezi hata kumtii"
# macho yake ...tai
Mwandishi anatoa taswira mbili kwa namna inavyotokea kwa watu wanaofariki wakiwa mbali na makazi ya watu
# macho yake yatadonolewa na kunguru wa bondeni
" kunguru wa bondeni watayadonoa macho yake"
# kunguru
ndege weusi ambao hula mimea na mizoga ya wanyama
# ataliwa na tai
"tai watamla"
# tai
moja ya ndege wakubwa ambao hula mizoga ya wanyama