# Mruba anao binti wawili Huu ni mfano wa kuonesha uroho, kutaka vitu zadi kila mara "Uroho anao binti wawili" # mruba ni aina ya mnyoo amba huganda kwenye ngozi na kunyonya damu # Wanalia "Nipe na nipe " " kwa pamoja wote wanaitwa nipe mimi" # kuna vitu vitatu ambavyo havitosheki, vinne ambavyo havisemi "Yatosha" "Kuna vitu vinne ambavyo havitosheki, ambavyo havisemi, "Yatosha" # ambavyo havitosheki "daima vinataka zaidi" # ardhi ambayo haitosheki kwa maji ardhi ambayo haizalishi tena chakula kwa sababu hakuna mvua imeongelewa kana kwamba mtu ambaye hana maji ya kutosha kwa kunywa # beza utiifu kwa mama "humfikiria mama yake kuwa hana maana na hawezi hata kumtii" # macho yake ...tai Mwandishi anatoa taswira mbili kwa namna inavyotokea kwa watu wanaofariki wakiwa mbali na makazi ya watu # macho yake yatadonolewa na kunguru wa bondeni " kunguru wa bondeni watayadonoa macho yake" # kunguru ndege weusi ambao hula mimea na mizoga ya wanyama # ataliwa na tai "tai watamla" # tai moja ya ndege wakubwa ambao hula mizoga ya wanyama