sw_tn/pro/30/04.md

32 lines
544 B
Markdown

# Ni nani ...chini?Ni nani...mikono?...Ni nani...kanzu? Ni nani....dunia?
"Hakuna mtu..."
# mbinguni
ambako Mungu anaishi
# kusanya upepo kwenye uwazi wa mikono yake
"kamata upepo katika mikono yake"
# uwazi wa mkono yake
"mkono yake"
# kusanya
rundika pamoja vitu vidogo vilivyotawanyika
# imarisha miisho ya dunia yote
"ameweka mipaka ya ukomo wa dunia"
# Jina lake ni nani, na jina la mwanae ni nani?
"niambie jina lake na jina la mwanae kama unawajua"
# Hakika unajua!
"Sidhani kama unamjua mtu anayeweza kufanya mambo hayo"