# Ni nani ...chini?Ni nani...mikono?...Ni nani...kanzu? Ni nani....dunia? "Hakuna mtu..." # mbinguni ambako Mungu anaishi # kusanya upepo kwenye uwazi wa mikono yake "kamata upepo katika mikono yake" # uwazi wa mkono yake "mkono yake" # kusanya rundika pamoja vitu vidogo vilivyotawanyika # imarisha miisho ya dunia yote "ameweka mipaka ya ukomo wa dunia" # Jina lake ni nani, na jina la mwanae ni nani? "niambie jina lake na jina la mwanae kama unawajua" # Hakika unajua! "Sidhani kama unamjua mtu anayeweza kufanya mambo hayo"